Monday, May 31, 2010

rais karume ashiriki ufunguzi wa mkutano wa wef Doha,Qatar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk Amani Abeid Karume akiwa katika ufunguzi wa mkutano wa WEF uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Sheraton mjini Doha, Qatar, kushoto ni Waziri wa Maendeleo wa Taifa wa Singapore MAHBOW-TAN kulia kwa Rais ni Mwana wa Mfalme na Mwenyekiti wa Viongozi wa Vijana Duniani Mhe. Haakon .Picha kwa hisani ya Ramadhan Othmani,Ikulu Zanzibar.

shoo love

Baadhi ya Vijana wa Clouds TV wakishoo love leo mchana kiaina baada ya mambo kadhaa kwenda mswano kwa upande wa Luningazzz ya Clouds TV.

makiri makiri wazuru ndani ya rock city

Mmoja wa wasanii wa kundi la Makiri Kiri akiwa katika pozi jana mchana ndani ya uwanja wa CCM Kirumba mara baada ya kumaliza onyesho lao
Wasanii wa kundi la Makiri kiri kutoka Botwasan wakiwatumbuiza baadhi ya wakazi wa jiji la Mwanza jana mchana kwenye uwanja wa CCM Kirumba,Kundi hilo muziki wa kiasili liko nchini kwa ziara ya maonyesho kadhaa.

President Kikwete attends the International Criminal Court Review Conference in Kampala!!

President Jakaya mrisho Kikwete delivers his speech during the opening of the International Criminal Court Review conference in Kampala Uganda this morning.Seated second left is the UN Secretary General Ban-Ki-Moon
President Jakaya Mrisho Kikwete, Uganda's President Yoweri Kaguta Museveni(centre) together with Former UN Secretary General Koffi Annan in conversation shorly after the opening of the International Criminal Court Review Conference in Kampala this morning.
Photos by Freddy Maro.

kumekucha clouds tv,kaa tayari kuanzia kesho

Paul James na shaffih Dauda wakijadiliana

Burudani ni Jadi yao na inazidi kuendelea.! Wana wa Clouds Media Group kupitia Clouds TV wanakuletea burudani ya pekee ya Soka la Ulimwengu,katika levo ya juu kabisa,Mchakato huo wa kuwaletea mpango mzima wa Kandanda unaanza rasmi hapo kesho,yaani Juni 1 kupitia Luninga yao ya Clouds Tv,kila siku saa 3:30 usiku.Watakuwa wanakuletea uchambuzi wa kina ukiambatana na matukio halisi kwenye picha za ubora wa hali ya juu kabisa.Wakiwa katika kipindi chao kiitwacho The road to South Africa 2010 kitakuwa kikichambuliwa na Watangazaji mahiri na wenye vipaji akiwemo Paul James (PJ) pamoja na Shaffih Dauda (Mzee wa number 10). Pichani ni Watangazaji Paul James pamoja na Shaffih Dauda wakiwa ndani ya Studio za Clouds TV tayari kwa kuwaletea mambo mazuri ya kiburudani katika anga ya kisoka zaidi.

hakuna biffu tena kati ya berry black na berry white


"Juzi nashukuru Mungu nimeweza maliza tofauti kati ya berry white na berry black kwa kuwakutanisha tena katika uzinduzi wa album ya berry black (nafsi yako) na album ya chege (karibu kiumeni) bif ilidumu tokea mwaka 2006 walipotoa wimbo wa mwisho ulioitwa na wewe tu ft.shirko
Kwa sasa wapo peace lakini watabaki kila mmoja akifanya kazi kivyake na wanaweza shirikiana,so 2 berry haipo tena watabaki kutumia majina yao b white au b black
Walikuwa hawasalimiani kabisa na walikuwa kama chui na paka kwa sasa kama mnavyoona katika pics wapo peace kabisa
Nawashukuru sana na Amani idumu baina yao Inshallah
Kuendeleza Zenji Fleva" Guru Ramadhani (kati pichani) ambaye pia ni Meneja wa studio ya Guru Recordz

EU and Concern Tanzania join forces to maximise rural communities’

P R E S S R E L E A S E

EU and Concern Tanzania join forces to maximise rural communities’

livelihood options

The European Commission (EC) has provided a major three-year grant (value 1.35 billion shillings) to support Concern Tanzania's efforts to reducing rural poverty in Tanzania under its “Integrated Livelihoods Programme”. The funds will aim to contribute to improved livelihoods and empowerment of marginal farmers in nine districts1, spread over four regions in Tanzania.


The programme will enhance food security and improve access to agricultural services and inputs; improve agricultural practices; and improve access to market information so farmers can sell their produce. Women and other marginal groups will be empowered and effectively involved in matters that affect their livelihoods.


The programme will work with specific local government departments and civil society organisations to support capacity building activities. It will provide development initiatives with and for the extremely poor population, and work towards the creation of a suitable environment to encourage where possible, private and public investment in agriculture. It will guide target communities to understand how to access basic services and take control of resources to improve their livelihoods in a sustainable manner.

The programme will focus on the extremely poor and most vulnerable households and build on their existing capacities/strengths. It will ensure that women and other vulnerable groups such as people living with HIV/AIDS, chronically sick people, elderly people, disabled people, children, and young people participate fully in all aspects of the project, particularly in terms of problem solving and decision making.

The action will promote interaction between state and non-state actors. It will work with non-state actors/civil society organisations (community-based organisations, farmers’ associations, self-help groups and local NGOs among others). These non-state actors will be supported through capacity building initiatives to understand the roles and responsibilities of the decentralised government structures.

They will be empowered to participate in development planning and decision making processes at different levels ensuring that the public needs are prioritised and necessary resources allocated accordingly. Non-state actors will also play key role in the monitoring and evaluation of development initiatives.

These activities, which are already underway, will contribute to the achievement of Millennium Development Goal 1 “to eradicate extreme poverty and hunger”.

Concern Tanzania has recently undertaken its major baseline survey to provide a detailed picture of the target population situation in relation to objectives and indicators. The survey comprised 57 questions relating to poverty, food insecurity, land tenure, agricultural practices, household practices, rights awareness, gender awareness, communication etc, against which Concern Tanzania can measure progress.

There were 400 respondents in all 175 villages, randomly/proportionally selected and categorised into four wealth bands. The methodology was face-to-face discussions and focus groups.

tamasha la muziki maracas kurindima ndani ya mji wa kihistoria

SIKU ZA IJUMAA TAREHE 4 NA JUMAMOSI TAREHE 5 MWEZI WA JUNI MJI WA BAGAMOYO UTAKUWA MWENYEJI WA TAMASHA LA KWANZA LA MUZIKI LIJULIKANALO KWA JINA LA MARACAS MUSIC FESTIVAL 2010.


TAMASHA HILI LITAFANYIKA KATIKA UKUMBI WA TASUBA UNAOMILIKIWA NA CHUO CHA SANAA KUANZIA SAA NANE NA NUSU ALASIRI HADI SAA NNE USIKU. LENGO LA TAMASHA HILI NI KUTOA NAFASI KWA WASANII MBALIMBALI KUTOKA HAPA NYUMBANI PAMOJA NA KWINGINEKO AFRIKA KUWEZA KUTOA BURUDANI, KUJIFUNZA BAINA YAO NA KUBADILISHANA UZOEFU, PAMOJA NA KUJITANGAZA.

VIKUNDI AMBAVYO TAYARI VIMETHIBITISHA KUSHIRIKI NI PAMOJA NA MOOKOMBA (ZIMBABWE), OMARY OMARY (TANZANIA), MAZS (ZANZIBAR), MAEMBE &THE BAGAMOYO SPIRIT (TANZANIA), JAGWA MUSIC (TANZANIA), JHIKOMAN (TANZANIA), NGOMA ZA ASILI ZA MKOA WA PWANI PAMOJA NA BODY MIND & SOUL (MALAWI).

VIINGILIO KATIKA TAMASHA HILO VITAKUWA NI SHILINGI 500/= WATOTO, SHILINGI 2000/= WAKUBWA NA SHILINGI 5000/= KWA WAGENI WASIO WAKAAZI .

WATOTO CHINI YA UMRI WA MIAKA MITANO WATARUHUSIWA BURE KAMA WATAKUWA PAMOJA NA WAZAZI AU WALEZI WAO....
KARIBUNI WOTE
Kwame Mchauru
Maisha Music
PO Box 105094
Dar es Salaam / Tanzania
+255 777 461911 begin_of_the_skype_highlighting +255 777 461911 end_of_the_skype_highlighting

SHEREHE ZA TUZO ZA BIDHAA BORA ZAANZA UJERUMANI

Kusho ni Bw. Edwin Gafa, kiongozi wa msafara wa Nile Breweries ya Uganda ambao wamepata tuzo ya kushiriki mara nyingi kwenye Monde Selection, Wawakilishi wa kampuni ya TBL ,Meneja wa Ndovu Lager Oscar Shelukindo akiongozana na Mpishi mkuu wa kampuni hiyo (Chief Brewer) Gaudence Mkolwe.
Meneja wa Ndovu Lager Oscar Shelukindo (TBL) akiangalia moja ya kinywaji kilichoibuka kwenye ushiriki wa kunyakua tuzo usiku wa kuamkia leo,ambapo hafla hiyo ilifanyika katika ukumbi wa Kurhaus mjini Wiesbaden,chini Ujerumani.

Mpishi mkuu wa kampuni ya TBL (Chief Brewer) Gaudence Mkolwe akiangalia vinywaji mbalimbali vilivyopo kwenye sherehe za ubora wa bidhaa za Monde Selection ambazo zimeanza rasmi katika ukumbi wa Kurhaus jijini la Wiesbaden, Ujerumani usiku wa kuamkia leo, ambapo makampuni kibao toka kile pembe ya Dunia ambayo bidhaa zake zimeibuka kuwa washindi wa ubora yalizawadiwa.

Meneja wa Ndovu Lager Oscar Shelukindo pamoja na Mpishi mkuu wa kampuni hiyo (Chief Brewer) Gaudence Mkolwe wakiangalia vinywaji mbalimbali vilivyopo kwenye sherehe za ubora wa bidhaa za Monde Selection ambazo zimeanza rasmi katika ukumbi wa Kurhaus jijini la Wiesbaden, Ujerumani usiku wa kuamkia leo, ambapo makampuni kibao toka kile pembe ya Dunia ambayo bidhaa zake zimeibuka kuwa washindi wa ubora yalizawadiwa.
Meneja wa Ndovu Lager Oscar Shelukindo (TBL) pamoja na Mpishi mkuu wa kampuni hiyo (Chief Brewer) Gaudence Mkolwe wakiwa na bidhaa yao ya Ndovu ambayo leo jumatatu usiku itapokea tuzo ya Dhahabu kwenye sherehe za ubora wa bidhaa za Monde Selection ambazo zimeanza rasmi katika ukumbi wa Kurhaus jijini la Wiesbaden, Ujerumani usiku wa kuamkia leo, ambapo makampuni kibao toka kile pembe ya Dunia ambayo bidhaa zake zimeibuka kuwa washindi wa ubora yatazawadiwa.
Sherehe za ubora wa bidhaa za Monde Selection ambazo zimeanza rasmi katika ukumbi wa Kurhaus jijini la Wiesbaden, Ujerumani usiku wa kuamkia leo, ambapo makampuni kibao toka kile pembe ya Dunia ambayo bidhaa zake zimeibuka kuwa washindi wa ubora yatazawadiwa.
Wageni waalikwa kutoka makampuni mbalimbali wakiwa ndani ya ukumbi wa Kurhaus jijini la Wiesbaden, Ujerumani usiku wa kuamkia leo
Meneja wa kinywaji cha Ndovu Oscar Shelukindo na mpishi mkuu wa TBL Gaudence Joseph Mkolwe wakiwa nje ya ukumbi wa Kurhaus jijini la Wiesbaden, Ujerumani usiku wa kuamkia leo
Meneja wa kinywaji cha Ndovu Oscar Shelukindo na mpishi mkuu wa TBL Gaudence Joseph Mkolwe wakijiandaa kuingia katika gari maalumu lililokuja kuwapokea katika uwanja wa kimataifa wa Frankfurt, Ujerumani, tayari kupokea tuzo ya dhahabu iliyopewa kilaji cha Ndovu

usiku wa club e wafana dodoma,wanachama kadhaa waibuka na zawadi

Mdau wa Club E akivalishwa saa nzuri ya club e baada ya kuibuka mshindi
Bidada kajishindia t-shirt
kajinyakulia wallet
mdau kaibuka na Tai
Mdau akifurahia mara baada ya kujishindia wallet kutoka Club E
Mdau akivalishwa t-shirt ya Club E mara baada ya kuibuka mshindi
Mtangazaji wa Clouds Fm kupitia kipindi cha Jahazi ,Kapt Gadna G Habash ambaye pia ndiye aliyeongoza shughuli nzima ya hafla hiyo akitangaza shindano la kujipatia zawadi mbalimbali kwa wadau/wanachama mbalimbali wa Club E,kwa atakayeibuka mshindi mara baada ya kujibu swali lolote linalohusiana na chapa ya Embassy.

usiku wa kubanjuka ndani ya toronto


The official Bantu Party is here....The hottest party in town . Usiku wa kubanjuka, njooni tufurahi,tucheze, tunywe na tule vyakula vya kinyumbani ......Mandazi, Pilau,Kachori, Katless,Sambusa, Chapati,Vitumbua ,Bajia,nyama choma, na vingine viiiiiiiiiiingi |ALL FREEEE!!!!!! !!!!| doors open @9pm. You don’t want to miss this event... music by the hottest DJ in town….. Usingoje kusimuliwa!! .Come and party untill morning.

Date: Saturday ,July 10th/2010

Location:
101 Lotherton Pathway, North York, Ontario. M6B 2G6

Contacts
Aisha| 647-520-9842 begin_of_the_skype_highlighting 647-520-9842 end_of_the_skype_highlighting
Dora| 647-204-5509 begin_of_the_skype_highlighting 647-204-5509 end_of_the_skype_highlighting
Email:
bantuparty@gmail. com

shukurani za dhati kutoka kwa wana wa filamu ya lovely gamble


CEO FRANK EYEMBE na Managing Director BARAKA BARAKA wa URBAN PULSE

SHUKURANI £OVELY GAMBLE

Tawala,viongozi na wafanyakazi wa African Star,Afro Euro Events Management, Buzzie Production, Manamba Studio na Urban Pulse. Wanatoa shukurani zao za dhati kwa Watanzania wote waliojitokeza usiku wa jana 29/05/2010 kwenye onyesho maalum la ‘£OVELY GAMBLE’ kuchangia watoto wanaoishi na vijirusi vya UKIMWI nyumbani Tanzania. Watoto hawa wanaangaliwa na TANZANIA MITINDO HOUSE.

Hakika ya kweli mmeoonyesha umoja ambao tunauthamini na hatuto usahahu.
Vilevile tungependa kuwatambua watu wafuatao, ambao kwa njia moja ama ingine wmesaidia sana kufanikisha Onyesho hili maalum

UBALOZI WA TANZANIA (mama Balozi na Maafisa wote wa Ubalozi)
TANZANIA ASSOCIATION zote Kitaifa na matawi ya Reading, Birmingham na Soctland
BONGO FLAVOUR (Dixon na Flora)
TMH (Khadija Mwanamboka)
SWIFT FREIGHT (Abu Faraji)

SWAHILI TRAVEL AGENCY (Tino)
VINCENT BAR (Kalinga na Gado)

MAMA MAYOR (Mariam Nice)

NOCHA SEBE

MISS YVONNE
WITENGERE KITOJO

TEGEME CHAMPANDA

FRANCIA CHENGULA

FREDDY MACHA

AYOUB MZEE

RASHIDI KAWAWA

ALLY MUHIDINIGLOBA PUBLISHER (Abdalah Mrisho)

BONGOSTARLINK (Dj Choka)

JIACHIE (Ahmad Michuzi)

KULIKONI UGHAIBUNI ( Evearest Chahali)
MICHUZI (Ankal Issa Michuzi)

MISS JESTINA GEORGE (Tina George)

FASHION 8020 (Shamim Mwasha)

NURU THE LIGHT (Nuru)


Vyombo hivi na Watanzania hawa wamekuwa mstari wa mbele katika kufanikisha Onyesho hili maaaluma la mchango wa kihiyari. Mungu awaongezee na tuendeleze umoja huu. MUNGU

IBARIKI TANZANIA MUNGU WABARIKI WATANZANIA

hafla ya kumkaribisha balozi mama sijaona na kumuaga mfanyakazi wa Ubalozi Mr Maleko!


Picha za matukio mbalimbali ya kumkaribisha balozi mama Sijaona na kumuaga mfanyakazi wa Ubalozi Mr Maleko hivi karibui nchini Japan.

Sunday, May 30, 2010

rais jakaya kikwete awasili kampala leo

A four years Ugandan pupil Christina Kwezi hands over a bouquet of flowers to President Jakaya Kikwete shortly after he arrived at Entebbe international airport this evening.President Kikwete is Uganda to attend the International Criminal Court(ICC) Review Conference.
President Jakaya Mrisho Kikwete inspects a guard of honour mounted by the Uganda's People Defence Force shortly after he arrived at Entebbe Airport in Uganda to attend the International Criminal Court Review conference.
Buganda Traditional royal Dancers entertains President Jakaya kikwete and his delegation shortly after he arrived at Entebbe airport this evening to attend the ICC Review Conference(Photos: Freddy Maro).

siginda wanyakua kombe la kili taifa cup

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam,Mh. William Lukuvi akikabidhi kombe la ubingwa wa Kili Taifa Cup kwa Kapten wa timu ya Singida,Rajab Mohamed huku mfungaji wa magoli mawili kati ya matatu yaliyoizima timu ya Lindi katika mchezo wa leo,Kelvin Charles akishuhudia.wengine ni Rais wa TFF,Reodger Tenga (kulia) na Mkurugenzi wa masoko wa TBL,David Minja. Singinda imeshinda goli 3-0

mdau anauliza kuhusu freemasons hapa bongo


But siku mingi kidogo maada imeanza kuongelewa hatimae na me leo nimeona niulize tu "Swali langu ni-Kweli nishawahi kusikia kuwa huko Arusha & Moshi-nchini Tanzania kuna ofisi yao iko hapo moshi mjini oppst na ilipokuwa kilimanjaro Hotel zamani? na kama hawa jamaa Internation NGO je? hizi NGO zinazoletwa na hawa wazungu huku kwetu Tanzania zinauhusiano na hawa jamaa Freemasonc? waungwana mkinisaidia majibu hapa itakuwa vema sana maana naona NGO ziko nyingi sana nikiangalia zingine kazi zao hazina mwelekeo wowote kabisa na kila siku wanatumia mapesa kibaoo vipi hapo.


NB:Mimi nilichoweza kumjibu,nilimwambia inawezekana wapo kwa sababu wana jumba lao (pichani) lilipo barabara ya Sokoine Drive jijini Dar,tena lipo jirani kabisa na Benki kuu.

studio mpya ya makamuzi yazinduliwa mjin napoli-italy


picha ya SEE RECORDS MANAGEMENT: kutoka kushoto ni CEO wa SEE RECORDS Mr S.A.S, akiwa na GFAMILY na ALASKO


SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 29/5/2010 KULIFANYIKA UZINDUZI RASMI WA STUDIO YA SEE RECORDS ILIYOPO MJINI NAPOLI ITALY.SEE RECORDS INA NIA YA KUONDOA KIU YA WASANII WENGI WALIOPO TANZANIA NA NJE KATIKA KUENDELEZA MZIKI WA KITANZANIA NA WA KIZAZI KIPYA BONGO FLAVA.SEE RECORDS PIA WANATOA HUDUMA ZA UTENGENEZAJI WA VIDEOCLIP NA FILAMU. UZINDUZI HUO ULIAMBATANA NA UFUNGUZI RASMI WA DUKA LA PAMBA LA SEEWEAR STYLE. KWA MAWASILIANO NA SEE RECORDS WATUMIE E-MAIL KUPITIA ANUANI HII: tnzncommunity@yahoo.com

miaka 5 ya coconut fm yafana zanzibar

Mmoja wa watangazaji wa Coconut Fm 88.2 Zanzibar, akimlisha keki mmoja wa Wakurugenzi wa Prime Time Promotions Ltd, ambao ni wamiliki wa kituo hicho kwa niaba ya Uongozi wa Kampuni pamoja na Clouds Media Group.
Baada ya hapo kilifuata nini vileeee...!
Mmoja wa Wakurugenzi wa Prime Time Promotions, ambao ndiyo wamiliki wa Redio Coconut Fm 88.2 Zanzibar Godfrey Kussaga akimlisha keki mmoja ya watangazaji nguli wa Redio Coconut Fm 88.2 Husna B.
Adam Mchovu toka Clouds Fm akilishwa keki
Mmoja wa watangazaji wa Coconut Fm 88.2 Zanzibar, Amida Mahalim akimlisha mmoja wa watangazaji Clouds Fm 88.4 B Dozen ambaye aliwakilisha katika sherehe hiyo.
Mmoja wa watangazaji wa Coconut Fm 88.2 Zanzibar, Amida Mahalim akimlisha mmoja wa watangazaji Clouds Fm 88.4 Arnold Kayanda ambaye aliwakilisha katika sherehe hiyo.
Mmoja wa Wakurugenzi wa Prime Time Promotions Ltd, ambao ndiyo wamiliki wa Coconut Fm 88.2 Zanzibar, Godfrey Kussaga akikata keki kwa ajili maadhimisho ya miaka mitano 5 ya kuzaliwa kwa Redio Coconut Fm usiku wa kuamkia leo ndani ya Ngome Kongwe
Meneja wa Coconut FM ,Abedi Mfaume akitoa maelekezo ya awali kabla ya kukata keki.
Mmoja wa watangazaji wa Coconut Fm 88.2 Zanzibar, Husna B akiongea na umati mkubwa wa watu uliofika kwenye sherehe hiyo,kabla ya kukatwa keki

 
Nafasi Ya Matangazo