B’AMBI FASHION HOUSE PRESENTS THE GOLDEN MIND FASHION SHOW

Friday, April 30, 2010


On May 8th Brenda Nambi, the designer and owner of Bambi Fashion House will unveil her latest collection called the "Golden Mind Collection".


In line with the global fashion trends, Brenda Nambi has created a fashion theme based around the color gold. This elegant and stylish collection is targeted towards hard working, independent women who have achieved their respect without losing their femininity & hence the fashion & style in them..


The Golden Mind Collection will be displayed in a classy fashion show that will take place at the Garden City Rooftop.

Be part of this elegant affair that will attract Kampala’s corporate class, entertainment and fashion personalities, business leaders, and the elite of Kampala’s social scene.

Bambi Fashion House promises an exciting evening of stunning fashion and entertainment.
For tickets or info please call 0782 506 684
Proudly sponsored by Redd's, Talent 256, The Red Pepper and D Mark
 
Muandishi: MICHUZI JR Tarehe: Friday, April 30, 2010 | | Permalink | Maoni 0

President Kikwete arives in Kampala for The East Africa Investment Conference!!

A young ugandan girl Clarissa Kanyenjeka presents a bouquet of flowers to president Jakaya Kikwete shortly after he arrived at Entebbe International Airport for the EAC investment conference to be held to Munyonyo Speke Resort in Kampala.
 
Muandishi: MICHUZI JR Tarehe: Friday, April 30, 2010 | | Permalink | Maoni 0

Utiaji Saini Mkataba wa Umeme

Mtendaji Mkuu wa Millenium Challenge Tanzania,Bernad Mchomvu wakikabidhiana mikataba na mwakilishi wa Kampuni ya Viscus ya nchini Japan Bw.Tesuji Onno.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Amani Abeid Karume,na Balozi wa Marekani Nchini Alphonso E.Lenhardt,wakishuhudi utiaji saini mkataba wa kazi za ulazaji waya wa umeme,(marine Cable)kutoka Ras Kiromoni Dar es Salaam hadi Fumba,mkataba huo ulisainiwa na Mtendaji Mkuu wa Millenium Challenge Tanzania,Bernad Mchomvu na Tesuji Onno,mwakilishi wa Kampuni ya Viscus ya nchini Japan.Picha na Ramadhan Othman Ikulu.
 
Muandishi: MICHUZI JR Tarehe: Friday, April 30, 2010 | | Permalink | Maoni 0

party II:kamishna wa madini live na Power breakfast ya clouds fm

 
Muandishi: MICHUZI JR Tarehe: Friday, April 30, 2010 | | Permalink | Maoni 0

party I:power breakfast live na kamishna wa madini kempinski leo

 
Muandishi: MICHUZI JR Tarehe: Friday, April 30, 2010 | | Permalink | Maoni 1

power breakfast live kutoka kempinski

Kutoka kulia ni Kamishna wa Madini kutoka Wizara ya Nishati na Madini Dr Kafumu,Muongozaji wa Kipindi Sebastian Maganga,Barbra Hassan,Paul James pamoja na Gerald Hando wakiwa Live asubuhi ndani ya hoteli ya Kilimanjaro Kempinsk.
Fundi Mitambo mahiri wa Clouds FM Bwana Jakson akihakikisha kipindi cha Power Breakfast kinakwenda live bila matatizo asubuhi hii

Clouds Fm 88.4 kupitia kipindi chake cha Power Breakfast wakizungumza Live sasa hivi katika hoteli ya Kilimanjaro Kempinsk (Frame tree Lounge) na Kamishna wa madini kutoka Wizara ya Nishati na Madini, Dr.D.P Kafumu ,kuhusiana na masuala mbalimbali yahusuyo sekta ya madini ikiwemo na sheria yetu mpya ya madini ambayo baadhi ya watu wamekuwa na walakini nayo.
 
Muandishi: MICHUZI JR Tarehe: Friday, April 30, 2010 | | Permalink | Maoni 0

Tanzania yaongeza muda wa kujiandikisha

Thursday, April 29, 2010
Tume ya taifa ya uchaguzi nchini Tanzania, imetangaza rasmi kuwa itaongeza siku mbili za ziada kwa ajili ya kufanya daftari la kudumu la wapiga kura kuwa bora zaidi.

Mwenyekiti wa tume hiyo Jaji mstaafu Lewis Makame akizungumza na vyombo vya habari, amesema tarehe zilizopangwa ni 22-23 May, 2010. Siku hizo zitakuwa ni Jumamosi na Jumapili na vituo vitafunguliwa kuanzia saa mbili asubuhi.

Kwa mujibu wa Jaji Makame, Tume ya Taifa ya Uchaguzi imefikia uamuzi huo, baada ya shughuli hiyo kumalizika mjini Dar es Salaam mwishoni mwa mwezi wa tatu mwaka huu, lakini kulikuwa na malalamiko kuwa watu wengi hawakujiandikisha.

Awali tume hiyo iliongeza siku moja ya ziada kutokana na wingi wa watu, ingawa watu wengine walilalamikia utaratibu mbovu, uchache wa wafanyakazi na ukosefu wa vifaa.

Jaji Makame anasema lengo la tume ni kuwapatia fursa wananch wote walio na sifa za kupiga kura kujiandikisha au kurekebisha taarifa zao, na amesema ni vyema wakazi wenye sifa kuonesha ushirikiano wa kujiandikisha au kurekebisha taarifa zao.

Tanzania inatarajia kufanya uchaguzi mkuu mwezi Oktoba mwaka huu.
 
Muandishi: MICHUZI JR Tarehe: Thursday, April 29, 2010 | | Permalink | Maoni 0

kaazi kweli kweli



Wadau kuna mwanajamvini kanitumia picha hizi japo na wanajamvini wengine wazione na wachangie, na anauliza hili ni tatizo limepamba moto ndani ya soka au ni kitu gani?
 
Muandishi: MICHUZI JR Tarehe: Thursday, April 29, 2010 | | Permalink | Maoni 8

Miss Arusha City Center kujulikana Mei 7

Washiriki wa Miss Arusha City Center wakiwa katika picha ya pamoja.

Kampuni ya Sophy Entertainment ya mjini Arusha imeandaa shindano la Miss Arusha City Center inayotarajia kufanyika May 7 katika ukumbi wa Naura Spring katika jiji hilo.

Akizungumza na Jiachie leo kwa njia ya simu muandaaji wa shindani hilo, Bi. Sophia Urio alisema kuwa shindano hilo linatarajia kuwa na msisimko kwa vile linawashiriki wenye mvuto na wenye muonekano wa ukweli katika uga wa ulimbwende.

Bi. Urio alisema kuwa kwa sasa warembo hao wapatao kumi wapo kambini wakijinoa vilivyo tayari kujiandaa kwa ajili ya mashindano hayo.

Amesema kuwa mataji yanayotarajiwa kushindaniwa na warembo hao yatakuwa ni Mane,ambayo ni kipaji, photogenic, balozi na Miss Arusha City Centre.

“Kiukweli najua mashindano ya mwaka huu yatakuwa na msisimko mkubwa kutokana na maandalizi yake kuwa ni mazuri, Walimu wanaowanoa walimbwende ni watu ambao wanajua wanachokifnya na wamebobea,kwa haili hiyo lazima kutakuwepo na utofauti mkubwa,” alisema Bi. Urio.

Kwa upande wake Rachel Michael ambaye ni mwalimu wa Catwalk alisema kuwa anashukuru sana kuona warembo wanaonyesha kuwa na ushirikiano pamoja na kujituma kwa moyo mmoja katika mazoezi yao,jambo ambalo linampa faraja hata yeye mwalimu wao.

Nae Doreen Mecky ambaye pia ni mwalimu wa kucheza (dance) alisema kuwa warembo wamejifua vya kutosha na hana shaka katika kinyang’anyiro hicho.

Bi. Urio aliongeza kuwa katika shindano hilo litapambwa na msanii Prezoo kutoka nchini Kenya, Hussein Machozi pamoja na kikundi cha ngoma za asili kutoka jijini humo.

 
Muandishi: MICHUZI JR Tarehe: Thursday, April 29, 2010 | | Permalink | Maoni 0

mshindi wa promosheni ya dondoka sauz akabidhiwa tiketi yake

Bw. Khalid Baber Abri akiwa na ticket.
Meneja Masoko wa Hyundai Edna Alimwike akimkabidhi ticket mshindi wa droo ya kwanza ya Dondoka Sauz Bw. Khalid Baber Abri. Promotion ya Dondoka Sauz inaendeshwa na Hyundai na Zantel.
Meneja Mauzo wa Hyundai Anthony Nyeupe (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari kabla ya kumkabidhi ticket mshindi wa droo ya kwanza wa promosheni ya Dondoka Sauz Bw. Khalid Baber Abri (kati). Kulia ni Meneja Masoko wa Zantel William Mpinga.
 
Muandishi: MICHUZI JR Tarehe: Thursday, April 29, 2010 | | Permalink | Maoni 0

Rais Karume AKUTANA NA UJUMBE WA BENKI YA KIARABU

Rais waZanzibar na Mwenyekiti wa Baraza a Mapinduzi Dk Amani Abeid Karume akisalimiana na Kiongozi wa Mfuko wa Saudi Arabia,(SOUD FUND),Ibrahim M.Alsugair pamoja na Viongozi Ujumbe Benki ya Kiarabu ya Maendeleo ya Afrika,(BADEA)walipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana.
Picha na Ramadhan Othman Ikulu.
 
Muandishi: MICHUZI JR Tarehe: Thursday, April 29, 2010 | | Permalink | Maoni 0

mmwwaaaa..!

 
Muandishi: MICHUZI JR Tarehe: Thursday, April 29, 2010 | | Permalink | Maoni 1

ni maeneo gani haya?

Picha hii imepigwa hapa jijini Dar,wilaya ya Kinondoni,lakini ni sehemu gani maarufu ?
Wadau hii picha imepigwa mjini Arusha hivi karibuni, unaweza kuniambia hii ni sehemu gani?
 
Muandishi: MICHUZI JR Tarehe: Thursday, April 29, 2010 | | Permalink | Maoni 7

mdau karibu jamvini na libeneke jipya


Mambo Michuzi Jr

Nimefungua blog yangu mpya inaitwa

http://life-in-dar.com/

Blog inahusu masuala yanayotokea Dar kila siku. Hasahasa blog hii inalenga kuwasaidia wageni wanaokuja Tanzania/Dar ili waweze kupata info za wapi wanaweza kupata huduma mbalimbali.

Nitashukuru sana kama utanisaidia kuitangaza kwa wadau wako wa blog ya michuzi jr.

Asante,

Kai
 
Muandishi: MICHUZI JR Tarehe: Thursday, April 29, 2010 | | Permalink | Maoni 1

tribute bash


Napenda kuwakilisha kwa Heshima tele!!

Ukicheck kwa hapo ni dinner and Reggae Dance special kwa ajili ya mdau mahiri aliyetutoka
Itakumbukwa kua Mwanzoni mwa Mwaka huu kulizizima majonzi ya kupotelewa na mwenzetu aliyefariki kwa kifo ambacho chanzo chake bado kinautata.

Mdau anaitwa Imrani Mtui "Rankin" na alifariki kule Bangalore-India alikokua akisoma.
Kwa kifupi jamaaa alikua mtu wa reggae damu and he was the best reggae dj ever....
Hiyo basi imepelekea the all reggae massive & crew in DAR kuaandaa special reggae dance dedicated to him

Kutakua na family gathering,Dinner and dance with the live performance from Jhiko man
The Show will aslo feature sister Sauda Simba and non stop reggae mixing from hottest DJs.
The bash will be on 01-May-2010 at Sweet Easy from 7.PM till late.
Don Miss.Who feels it..knows it..
 
Muandishi: MICHUZI JR Tarehe: Thursday, April 29, 2010 | | Permalink | Maoni 0

sherehe za zain kupeleka range rover sport mjini arusha zafana

Mkuu wa wilaya ya Arusha (kati) Eng. Raymond Moshi akimkabidhi Bw. John Kassian funguo ya gari aina ya Range Rover Sport aliyojishindia katika promosheni ya Zain Jishindie gari iliyofanyika hivi karibuni. Makabidhiano hayo yalifanyika wiki iliyopita katika viwanja vya Triple A, mjini Arusha. Pembeni ni mke wa Bw. John Kassian akishuhudia makabidhiano hayo.
Range Rover Sport ikiwa imepaki ikisubiri kukabidhiwa kwa mshindi.
Range Rover Sport ikiwa imebebwa kwenye msafara huku ikinadiwa kwa wakazi wa Usa River.
Msafara kutoka Usa River kuelekea Arusha mjini
Msafara kutoka Usa River kuelekea Arusha mjini ulianza kama unavyoona mwenyewe.
Vijana kutoka Zain wakitoa burudani kwa wakazi wa Usa River kabla ya msafara wa kuelekea mjini Arusha kupeleka Range Rover Sport. Sherehe hizo za kumkabidhi mshindi zawadi yake zilifanyika wiki iliyopita katika viwanja vya Triple A, jijini Arusha.
 
Muandishi: MICHUZI JR Tarehe: Thursday, April 29, 2010 | | Permalink | Maoni 2

BANJUKA NITE FEATURING T.I.D & ALIKIBA LIVE ON STAGE @ FACE CLUB READING RG1 7JE


BANJUKA NIGHT ... ONE NIGHT ONLY

A BRAND NEW SEDUCTIVE & PLUSH AFRO NIGHT LIKE NEVA BEFORE....

OH YEH..ITS HAPPENING, THE MOMENT WE ALL BEEN WAITING FOR...TWO BIG E/A ARTIST COLLABORATE TO BRING YOU BIGGEST EAST AFRICAN NIGHT YET TO BE EXPERIENCED IN READING OR EVEN ANYWHERE..

LADIES & GENTLEMEN BRACE YOURSELVES * T.I.D & ALI KIBA * WILL BE PERFORMING LIVE B2B @ THE FACE CLUB ( CHATHAM ST,READING RG1 7JE ) FROM THEIR FRESHEST TRACKS LIKE

T.I D ..... ..... ...ZEZE ,SIAMINI,WATASEMA,NYOTA YANGU , ASHA + MORE HITS

ALI KIBA ..... .....NAKSI NAKSHI,MAC MUGA ,CINDERELLA,KARIM,USINISEME & MANY MORE>>>........

Aswel will have after show party continue with our best Dj's Richie ,Abraham,Collo & Diego playing best in Bongo Flava - Genge - zouk,lingala,naija,kwaito,R n B - Hip Hop,Dance hall and many more.

DONT MISS THIS ONE NIGHT ONLY...TRUST ME 2 BIG ARTISTS IN THE BUILDING ON A BANK HOLIDAY...( RHUMBA TIL THE LATE HOURS ) USIKOSE UTAJILAUMU...>>>>>>>>……..!!!!!!!!!!

DJ'S ON THE NIGHT
.....RICHIE
.....ABRAHAM
.....COLLO
……DIEGO & JOHN

ENTRY ......15 POUND ALL NITE

TIME .....10PM-5AM

VENUE .........THE ONLY PACE 2 BE
FACE CLUB OFF CHATHAM ST
RG1 7JE READING BERKS

DRESSCODE IS A MUST WE INSIST...


NO WORK ON MONDAY,SO DONT LET YOUR CURIOSITY TROUBLE YOU......
......COME AND JOIN US PARTY HARD TO THE LATE HOURS

ITAKUWA NOMA.
 
Muandishi: MICHUZI JR Tarehe: Thursday, April 29, 2010 | | Permalink | Maoni 0

kitabu kipo tayari sokoni

Kijana mwenzetu, Bahati Mabala ametoa kitabu ambacho kimechapishwa na kipo tayari sokoni. Nadhani bado anaongea na publishers wa Tanzania, lakini itakuwa sio vibaya wanaoweza kununua sasa hivi kutoka Marekani wakaendelea:

http://vijanafm.blogspot.com/2010/04/trail-of-my-shadows.html

Shukrani za dhati kwa kumsaidia kufikisha ujumbe kwa Watanzania (Unaweza ukai-copy post kama ilivyo VijanaFM kwenye blog yako).

Steven
 
Muandishi: MICHUZI JR Tarehe: Thursday, April 29, 2010 | | Permalink | Maoni 0

FFU! wa The Ngoma Africa Band 8.May 2010 ndani ya Bayern,Munchen

FFU wa Ngoma Africa band,Kutumbuiza katika sherehe za washabiki wa
Wold Cup 2010,huko Munchen aka Bayern,Munich,
Onyesho litafanyika eneo la Pfarrheim.St.Joseph,Joseph Platz 1.München

Bendi maarufu ya mziki wa dansi barani ulaya "The Ngoma Africa Band" aka FFU,
au "wazee wa kukaanga mbuyu",yenye maskani yake uko ujrumani.Kikosi iko
kinatarajiwa kuwasili mjini Munich aka Muchen siku ya jumamosi ya 8 May 2010
kwa ajili ya kufanya onesho la shamra shamra ya Sherehe za kombe la kandanda la Dunia,ambalo kwa mara ya kwanza litafanyikia nchini Afrika Kusini aka Azania.

Shamra shamra hizo zimeandaliwa na jumuiya za wafrika na mashirika yasio ya kiserekali pamoja na Chama cha urafiki kati ya Tanzania na Ujerumani.Sherehe hizo inasemekana zitaudhuriwa na mabalozi wa nchi mbali mbali.

Wakazi na washabiki wa mji wa Munich,ambako ndipo makao makuu ya klabu ya
mashuhuri ya kandanda "Bayern,Munich" ,watapata bahati ya kusakata mziki wa
dansi kutoka kwa mzimu wa dansi "The Ngoma Africa Band".

Bendi ambayo inasifa za tabia ya kuperekana mchaka mchaka na washabiki wake,kwa kutumia mdundo wake wa dansi.http://www.myspace.com/thengomaafrica
Bendi hiyo ni juzi tu waliachia singo CD yao iliyobeba jina la "Jakaya Kikwete 2010"
na kufanikiwa kuteka washabiki lukuki katika youtube!

Karandinga la FFU wa Ngoma Africa band litahakikisha limewasili mapema mjini Munich aka Munchen ,uku likiwa na mabox ya kutosha yaliojaa virungu vya mziki,
wakazi wa Bayern,Munich kaeni tayari tayari kwa kusakata magoma mpaka hasubui.

kwa maelezo zaidi wasiliana na Mr.Temu ambaye ndie mratibu wa tamasha hilo kwa
simu +49(0)179 6661748 begin_of_the_skype_highlighting +49(0)179 6661748 end_of_the_skype_highlighting karibuni nyote
 
Muandishi: MICHUZI JR Tarehe: Thursday, April 29, 2010 | | Permalink | Maoni 1

leo jijini kumenoga kweli

Wednesday, April 28, 2010



 
Muandishi: MICHUZI JR Tarehe: Wednesday, April 28, 2010 | | Permalink | Maoni 1

tangazo la MISS CHUMBAGENI 2010


 
Muandishi: MICHUZI JR Tarehe: Wednesday, April 28, 2010 | | Permalink | Maoni 0

The Next Level Season 6 Concert


If you have anything going down on 2nd May 2010, CANCEL IT!!!!!
The biggest gospel concert to hit Dar es Salaam is finally here!
Venue: City Christian Centre Auditorium (Opp Mzumbe University Dar Campus) http://www.ccc-upanga.org/
Guest Group : Krystaal from Canada http://www.krystaal.com/
Time: 3pm
Entrance:VIP: Tsh 10,000 Normal: Tsh 5,000Children: Tsh 2,000
Get your tickets from the entrance gate Or contact + 255 754 262 020 or +255 715 090 456Or
 
Muandishi: MICHUZI JR Tarehe: Wednesday, April 28, 2010 | | Permalink | Maoni 1

beach bonanza jumamosi


 
Muandishi: MICHUZI JR Tarehe: Wednesday, April 28, 2010 | | Permalink | Maoni 0

Rais Karume akutana na Viongozi wa Mufindi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Amani Abeid Karume, akipokea Ngao ya kuwa mlezi wa Michuano ya Kombe la Muugano kutoka mufindi, kutoka kwa Mkurugenzi Masoko wa Vodacom Tanzania,ambao ndio wamedhamini michuano hiyo, Ephraim Balozi Mafuru,Ikulu Mjini Zanzibar jana,(katikati) ni Mratibu wa kombe la Muungano kutoka Mufindi Iringa, Yassin Daud.Picha na Ramadhan Othman Ikulu.
 
Muandishi: MICHUZI JR Tarehe: Wednesday, April 28, 2010 | | Permalink | Maoni 0


 
Muandishi: MICHUZI JR Tarehe: Wednesday, April 28, 2010 | | Permalink | Maoni 0

Habari njema kwa watoto wenye matatizo yanayohitaji matibabu nje.


Kwa Kushirikiana na SickKids Hospital ya Toronto, natafuta watoto wagonjwa, chini ya miaka 14 ambao wanahitaji operation moja ili wapone na kwamba matibabu hayo hayapatikani Tanzania.


Matibabu yote ni bure hospitali; na gharama za kuishi huku kwa mtoto na baba au mama najitolea mimi. Tunaweza kuanza maongezi sasa na tukaonana nikija March. Pia napenda kuwajulisha kwamba Serikali ya Canada, kupitia CIDA, "imetangaza" kutoa "misaada" zaidi kwa Tanzania na Ghana kwa mambo ya afya. Nina imani serikali ya Tanzania imejulishwa tayari.


Kama una ndugu yako, jirani yako au mtoto unamjua, tafadhali wasilisha report ya Daktari pamoja na maombi kwa anuani hapo chini:-

Mabula Sabula
Executive Vice President
Dillon-Kaijuka Associates, Inc.
108 S. Joliet St., Joliet, IL. 60436
USA Investment & Development Services
Tel: +1312-376-8106 E- Fax: +1206-337-1688
Skypename:mabsab

Canada: Tel: +1416-546-6542 Cell: +1647-281-6474

Au wasilisha kwangu najua jinsi ya kumfikishia Ndugu Mabula.mailto:Mabula.piusmicky@yahoo.co.uk,


Tel: +255 713 666616 au Zilete Chuo Cha Diploamasia, Kurasini – Dar Es Salaam, ulizia Ndugu Pius Mikongoti.NB: Ndugu Mabula ni Mtanzania na alikuwa hapa nchini siku chache zilizopita, Naomba tutumie nafasi hii kwa wale wanaowajua watoto wote wenye matatizo ilimradi wako chini ya miaka 14. Asanteni.
 
Muandishi: MICHUZI JR Tarehe: Wednesday, April 28, 2010 | | Permalink | Maoni 0

ajali mbaya usiku wa manane

kitambulisho cha marehemu
Polisi walifika sehemu ya tukio la ajali na kuuchukua mwili wa marehemu kwa taratibu nyingine mbalimbali.

Toyota Hilux yenye namba za usajili T 826 ADU,iliokuwa ikiendeshwa na Marehemu aliyetambulika kwa jina la Frank Kagangule kwa mujibu wa vitambulisho vyake.
Toyota Hilux ilipovaana uso kwa uso na Lori,baada ya dereva wa Lori kupoteza mwelekeo na kuhama barabara na kukutana uso kwa uso na hiyo Toyota Hilux,Ajali hiyo imetokea maeneo ya Supa-Mbezi Beach jijini Dar mnamo majira ya saa sita usiku kuamkia leo.
Yaani dah,halafu Lori lenyewe limechoka ile mbaya halafu limebebeshwa Kontena lenye mzigo
Baadhi ya wasamalia wema wakijaribu kuutoa mwili wa marehemu
Marehemu akiwa amebanwa vibaya na gari kwenye ajali hiyo mbaya kabisa
Msamalia mwema akijaribu kuuvunja mlango ili kumtoa marehemu
Baadhi ya watu waliofika kwenye ajali hiyo iliotokea maeneo ya Supa-Mbezi Beach jijini Dar mnamo majira ya saa sita usiku wa kuamkia leo wakijaribu kufanya jitihada za kumtoa marehemu.Katika ajali hiyo mtu mmoja wa gari ndogo alipoteza maisha hapo hapo na waliokuwa ndani ya Lori pamoja na dereva walikimbia eneo la tukio baada ya ajali kutokea.
Lori hilo likuwa limebeba kontena lenye mzigo ndani,dereva baada ya kuona linamshinda akahama upande mwingine na kukumbana na hiyo hilux uso kwa uso

 
Muandishi: MICHUZI JR Tarehe: Wednesday, April 28, 2010 | | Permalink | Maoni 8

Gari inauzwa - VW Polo for sale







Volkswagen Polo 2002 make with registration of T814BAH
Engine size: 1390cc
Fuel: Petrol
Color: Exterior silver, Interior black
Odomoter reading: 49423km (inaongezeka maana inatumika mpaka ipate mteja!)
6 CD changer, MD player, Good stereo music
Tyres: Michelin with alloy rims
Runs great!

Asking price: Tshs 8 millions (there is room for negotiation)

For serious buyers please call 0715484351 or 0787 958315 begin_of_the_skype_highlighting 0787 958315 end_of_the_skype_highlighting

TAFADHALI USIBIPU
!
 
Muandishi: MICHUZI JR Tarehe: Wednesday, April 28, 2010 | | Permalink | Maoni 1
Idadi ya watu