Naibu
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (Bara) Ndugu Christina Mndeme
akizungumza wakati wa ufunguzi wa semina ya fidia kwa wafanyakazi na
wadau iliyoandaliwa na Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) iliyofanyika
leo Novemba 30, 2022 katika ukumbi wa White House jijini Dodoma.
Naibu
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (Bara) Ndugu Christina Mndeme
akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF)
Dkt. John Mduma wakati wa ufunguzi wa semina ya fidia kwa wafanyakazi
leo Novemba 30, 2022 katika ukumbi wa White House jijini Dodoma.
Katibu
wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga
(kulia) akichangia mada wakati wa semina ya fidia kwa wafanyakazi
iliyofanyika kwenye ukumbi wa White House jijini Dodoma.
A Tanzanian blog operating since 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.
No comments:
Post a Comment