JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad


TANZANIA COMMERCIAL BANK YAWAPIGA JEKI WAKULIMA WA ZAO LA MWANI UNGUJA

Share This

Afisa Mtendaji Mkuu wa Tanzania Commercial Bank TCB Sabasaba Moshingi (kushoto), akikabidhi msaada wa kisima cha maji kwa Mbunge wa Jimbo la Paje Unguja Mh Sudi Hassan kwa niaba ya wamama wa Jimbo hilo wanaojishughulisha na Kilimo cha mwani kwaajili ya kustawisha Kilimo cha zao hilo hafla ya makabidhiano hayo yefanyika unguja mwishoni mwa wiki wengine pichani ni baadhi ya wamama waliopatiwa msaada huo


Afisa Mtendaji Mkuu wa Tanzania Commercial Bank TCB Sabasaba Moshingi akiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali pamoja na wakulima wa zao la mwani kutoka jimbo la paje Unguja


Afisa Mtendaji Mkuu wa Tanzania Commercial Bank TCB Sabasaba Moshingi akifurahi pamoja na viongozi mbalimbali na wamama wakulima wa zao la mwani Unguja mara baada yakukabidhi msaada wa kisima kwaajili ya kustawisha Kilimo cha zao hilo hafla ya makabidhiano hayo yefanyika unguja.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad