JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad

MIJADALA YAENDELEA KWENYE MKUTANO WA KIMATAIFA WA ELIMU BORA JIJINI DAR

Share This

Watoa mada na wachambuzi wa mada anuai zinazowasilishwa katika Mkutano wa Pili wa Kimataifa wa Elimu Bora (International Quality Education Conference -IQEC) wakiwa katika mijadala kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julias Nyerere.

Mhadhiri Mkongwe, Dkt. Azaveli Lwaitama akiwasilisha mada katika Mkutano wa Kimataifa wa Elimu Bora unaoendelea jijini Dar es Salaam, kujadili masuala anuai ya elimu kimataifa. Katikati ni Mtaalam wa masuala ya Elimu Jumuishi, Dk. Dinah Mmbaga akishiriki katika mjadala huo.
Mshauri wa Masuala ya Elimu kutoka Oxfam, Bw. David Kobia (katikati) akiendesha moja ya mijadala katika Mkutano wa Kimataifa wa Elimu Bora unaoendelea jijini Dar es Salaam
Watoa mada na wachambuzi wa mada anuai zinazowasilishwa katika Mkutano wa Pili wa Kimataifa wa Elimu Bora (International Quality Education Conference -IQEC) wakiwa katika mijadala kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julias Nyerere.
Sehemu ya washiriki wakifuatilia mada anuai kwenye Mkutano wa Pili wa Kimataifa wa Elimu Bora (International Quality Education Conference -IQEC) kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julias Nyerere.
Washiriki wakizungumza katika mjadala kwenye moja ya mada zilizowasilishwa kwenye Mkutano wa Pili wa Kimataifa wa Elimu Bora (International Quality Education Conference -IQEC) kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julias Nyerere.

Wazungumzaji mbalimbali wakiwasilisha mada zao katika siku ya pili ya Mkutano wa Pili wa Kimataifa wa Elimu Bora (International Quality Education Conference -IQEC) kabla ya washiriki wa mkutano huo kuzijadili kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julias Nyerere.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad