JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad


Sinia la DCB lazidi kumwaga zawadi

Share This

Meneja wa Benki ya Biashara ya DCB Tawi la Magomeni, Anna Kasyupa (kushoto), akikabidhi zawadi ya pesa kwa mmoja wa washindi wa kampeni ya Sinia la DCB, Anastazia Kilonda, mteja wa Tawi la Tabata, katika hafla iliyofanyika tawini hapo, Dar es Salaam jana. Kampeni hiyo ya miezi mitatu ilizinduliwa Okotoba 28 mwaka jana, zawadi zikiwa pesa na simu za mkononi yenye lengo la kudumisha utamaduni kwa wateja wao kujiwekea akiba na pia kuwa sehemu ya  shukurani za DCB kwa wateja wao.   

Ofisa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya Biashara ya DCB, Adelah Kaihula  (kulia), akikabidhi zawadi ya pesa kwa mmoja wa washindi wa kampeni ya Sinia la DCB, Winston Jacob katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana. Kampeni hiyo ya miezi mitatu ilizinduliwa Okotoba 28 mwaka jana, zawadi zikiwa pesa na simu za mkononi yenye lengo la kudumisha utamaduni kwa wateja wao kujiwekea akiba na pia kuwa sehemu ya  shukurani za DCB kwa wateja wao.

Balozi wa Kampeni ya Sinia la DCB, Maxwell Machange (kulia), akikabidhi zawadi ya pesa kiasi cha shs 200,000 jijini Dar es Salaam jana, kwa Ofisa Huduma kwa Wateja wa Benki ya DCB Tawi la Magomeni, Nancy Shemndolwa mara baada ya tawi hilo kuibuka kidedea kwa kufanya vizuri katika kampeni inayoendelea ya Sinia la DCB.    Kampeni hiyo ya miezi mitatu ilizinduliwa Okotoba 28 mwaka jana, zawadi zikiwa pesa na simu za mkononi yenye lengo la kudumisha utamaduni kwa wateja wao kujiwekea akiba na pia kuwa sehemu ya  shukurani za DCB kwa wateja wao.

Ofisa Huduma kwa Wateja wa Benki ya DCB Tawi la Mabibo, Mwajuma Mduma (kulia) akikabidhi zawadi wa pesa kwa Julieth Kisaka, aliyepokea kwa niaba ya Lydia Leonard mteja wa Tawi la Mabibo baada ya kibuka mmoja wa washindi wa kampeni inayoendelea ya Sinia la DCB. Kampeni hiyo ya miezi mitatu ilizinduliwa Okotoba 28 mwaka jana, zawadi zikiwa pesa na simu za mkononi yenye lengo la kudumisha utamaduni kwa wateja wao kujiwekea akiba na pia kuwa sehemu ya  shukurani za DCB kwa wateja wao.


Balozi wa Kampeni ya Sinia la DCB, Maxwell Machange (kulia), akikabidhi zawadi ya simu kwa Meneja Mikopo Midogodogo wa Benki ya DCB, Maria Kabeho aliyepokea kwa niaba ya mteja wa Tawi la Ukonga, Florian Steven, aliyeibuka mshindi katika kampeni inayoendelea ya Sinia la DCB.    Kampeni hiyo ya miezi mitatu ilizinduliwa Okotoba 28 mwaka jana, zawadi zikiwa pesa na simu za mkononi yenye lengo la kudumisha utamaduni kwa wateja wao kujiwekea akiba na pia kuwa sehemu ya  shukurani za DCB kwa wateja wao.No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad