JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad


Promosheni ya "Show Love" Tule Shangwe ya Vodaocm yatoa zawadi kemkem mjini Kahama

Share This

Mshindi wa promosheni ya Vodacom "Show Love, Tule Shangwe", Veronica

Kalamu (wa pili kulia) mkazi wa Runzewe akipokea mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni moja kutoka kwa Mkuu wa mauzo Vodacom kanda ya ziwa, Ayubu Kalufya (wapili kushoto). Wengine kulia ni Meneja Mwandamizi Vodacom Kanda ya Ziwa, Ahmed Akabarali na kushoto ni Meneja wa Vodacom Kahama, Undule Mwamkamba, hafla ya makabidhiano hayo ilifanyika viwanja vya Phantom mjini Kahama. Msimu huu wa sikukuu Vodacom inatoa zawadi kwa wapendanao ambapo wateja wanaweza kununua bando na kutumia huduma ya M-Pesa kwa kupiga *149*01#No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad