728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Thursday, June 14, 2018

  SPIKA JOB NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MKURUGENZI MKUU KUTOKA BENKI YA NMB OFISINI KWAKE BUNGENI JIJINI DODOMA

   Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Mkurugenzi Mkuu na Mtendaji Mkuu kutoka Benki ya NMB, Ndg. Ineke Bussemaker alipomtembelea leo tarehe 14 Juni, 2018 Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
   Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu na Mtendaji Mkuu kutoka Benki ya NMB, Ndg. Ineke Bussemaker alipomtembelea leo Tarehe 14 Juni, 2018 Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

   Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Wageni kutoka Benki ya NMB wakiongozwa na Mkurugenzi Mkuu kutoka NMB, Ndg. Ineke Bussemaker (kushoto kwake) walipomtembelea leo tarehe 14 Juni, 2018 Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
  Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Wageni kutoka Benki ya NMB wakiongozwa na Mkurugenzi Mkuu, Ndg. Ineke Bussemaker (wa pili kulia) walipomtembelea leo tarehe 14 Juni, 2018 Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

  (PICHA NA OFISI YA BUNGE)
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: SPIKA JOB NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MKURUGENZI MKUU KUTOKA BENKI YA NMB OFISINI KWAKE BUNGENI JIJINI DODOMA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top