728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Tuesday, March 20, 2018

  Diwani mwingine wa Chadema Arusha Ajiuzulu na kujiunga na CCM

   
  Diwani wa kata ya Kaloleni Halmashauri ya jiji la Arusha, Ndg.Emmanuel Kessy wa CHADEMA (pichani kati) amejiuzulu uanachama na udiwani mapema jana na kutangaza kujiunga na chama cha CCM, kwa kile alichoeleza kuwa amefanya hivyo ili kuunga mkono juhudi za Mh.Rais Magufuli.Diwani huyo amepokelewa na Katibu mwenezi wa Wilaya ya Arusha Mjini Ndg.Abrahamu Mollel pamoja Katibu Hamasa wa Vijana Mkoa wa Arusha Ndg. Omary Lumato
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Diwani mwingine wa Chadema Arusha Ajiuzulu na kujiunga na CCM Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top