WAZIRI LUKUVI ATEMBELEA NA KUSULUHISHA MGOGORO WA ARDHI ENEO LA MBONDOLE KATA YA MSONGOLA DAR ES SALAAM - JIACHIE

JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad

WAZIRI LUKUVI ATEMBELEA NA KUSULUHISHA MGOGORO WA ARDHI ENEO LA MBONDOLE KATA YA MSONGOLA DAR ES SALAAM

Share This
 Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akizungumza na wakazi wa Mbondole kata ya Msongola Dar es Salaam wakati apokwenda kusuluhisha mgogoro wa ardhi katika eneo hilo.
 Wakazi wa Mbondole kata ya Msongola wakimsikiliza Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Mkazi mhe. William Lukuvi. 
 Wakazi wa Mbondole wakimpokea Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi mhe. William Lukuvi wakiwa na mabango

 Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Mkazi mhe. William Lukuvi akikagua maeneo yaliyovamiwa katika eneo la Mbondole kata ya Msongola Dar es Salaam. 
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Mkazi mhe. William Lukuvi akikagua maeneo yaliyovamiwa katika eneo la Mbondole kata ya Msongola Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad