SAM KAMANGA- NIC KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA WADAU WA 'BARCODES' - JIACHIE

JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad

SAM KAMANGA- NIC KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA WADAU WA 'BARCODES'

Share This
Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa akimkabidhi cheti shukrani Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bima la Taifa (NIC) Sam Kamanga wakati wa mkutano Mkuu wa Mwaka wa sita wa taasisi ya kutoa huduma za viwango vya barcodes na mifumo ya ufatiliki Tanzania(GS1) wa watumiaji wa Barcodes na Mkutano wa saba wa wadau . Mkutano huo ulifanyika jana Jijini Dar es Salaam katika jengo la LAPF . NIC ilikuwa moja ya taasisi zilizodhamini mkutano huo. 
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bima la taifa (NIC) Sam Kamanga akizungumza wakati wa mkutano Mkuu sita wa Mwaka wa taasisi ya kutoa huduma za viwango za Barcodes na mifumo ya ufatiliki Tanzania(GS1) wa watumiaji wa Barcodes na Mkutano wa wa saba wa wadau . Mkutano huo ulifanyika jana Jijini Dar es Salaam katika jengo la LAPF, NIC walidhamini mkutano huo. 
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bima la Taifa (NIC) Sam Kamanga akizungumza wakati wa mkutano Mkuu huo. 
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bima la Taifa (NIC) Sam Kamanga akifatilia kwa makini mkutano huo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad