JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad


Balozi wa Marekani na Balozi wa Ulaya wamtembelea Rais Kikwete Ikulu leo

Share This
Rais Jakaya Kikwete akiagana na Balozi wa Marekani nchini aliyemtembelea kwa mazungumzo leo Alhamisi Desemba 8, 2011.
Rais Jakaya Kikwete akiongea na Balozi wa Marekani nchini aliyemtembelea kwa mazungumzo leo Alhamisi Desemba 8, 2011.
Rais Jakaya Kikwete akiagana na Balozi wa Ulaya nchini aliyemaliza muda wake Bw Tim Clarke, aliyekwenda kumuaga leo Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Kikwete akiwa na mazungumzo mafupi na Balozi wa Ulaya nchini aliyemaliza muda wake Bw Tim Clarke, aliyekwenda kumuaga leo Ikulu jijini Dar es salaam.


Rais Jakaya Kikwete akimuelekeza jambo Balozi wa Ulaya nchini aliyemaliza muda wake Bw Tim Clarke, aliyekwenda kumuaga leo Ikulu jijini Dar es salaam.Picha na Ikulu.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad