JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad


Tigo yatoa bonus ya billion 1.2 MB katika campaign ya Jaza Tukujaze Tena

Share ThisTunakabidhiTena: Tigo yaendelea kukabidhi zawadi za Simu kwa washindi mbalimbali wa #JazaTukujazeTena ambapo wateja hujishindia pia bonus za dakika, MB na SMS na kubwa zaidi kupata Simu Janja. "Mpaka sasa tumeshatoa simu zaidi ya 240 kati 1200 na bado tunaendelea kutoa simu mbalimbali kupitia kampeni yetu inayoendelea nchini kote" Beatrice Kinabo-Meneja huduma kwa wateja kanda ya pwani

JOTI "Ukinunua kifurushi Tigo inakupa Bonus za Dakika, SMS na MB's na zaidi unajiwekea nafasi ya kushinda smartphone ambazo leo tunazitoa kwa washindi wa wiki hii."#ItelT20 #TecnoKitochi4G kumi kila siku na #SamsungNote20 tatu kila wiki.
#JazaTukujazeTena


Balozi wa kampeni ya Jaza Tukujaze Tena,Meena Ally akielezea kwamba hadi sasa Tigo imeshatoa MB billion 1.2 kama bonus katika kampeni inayoendelea ya Jaza Tukujaze Tena,kushoto kwake ni balozi mwenzake wa kampeni ya jaza tukujaze tena Joti na kulia kwake ni,Meneja Huduma kwa Wateja wa Kanda ya Pwani Tigo, Beatrice Kinabo.

 No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad