JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad


ZUCHU ANOGESHA UZINDUZI WA MRADI WA MAJI KIBAMBA-KISARAWE MKOA WA PWANI LEO

Share This

 Mwanamuziki anayekuja juu kwa kasi Zuhra Kopa maarufu kama ZUCHU akitumbuiza kwa mara ya kwanza mbele ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa sherehe za uzinduzi wa mradi mkubwa wa Maji wa
Kibamba-Kisarawe mjini Kisarawe mkoa wa Pwani leo Jumapilio Juni 28, 2018. Zuchu anayetamba na kibao chake cha hamasa cha CCM ya MAGUFULI ni binti wa Malkia wa Mipasho Bi. Khadija Omar Kopa
 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad