TANTRADE WAIBUKA WASHINDI WA TATU MAONESHO YA KILIMO KITAIFA (NANE NANE) MKOANI SIMIYU - JIACHIE

JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad

TANTRADE WAIBUKA WASHINDI WA TATU MAONESHO YA KILIMO KITAIFA (NANE NANE) MKOANI SIMIYU

Share This
Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mhe. Benjamin William Mkapa akimkabidhi Cheti  Mkurugenzi Mkuu wa TANTRADE Bw. Edwin Rutageruka baada ya Banda la TanTrade "Business Clinic" kuibuka Mshindi wa Tatu kwenye Maonesho ya Kilimo Kitaifa (Nane Nane 2018) yaliyofanyika Mjini Bariadi Mkoani Simiyu. Banda hilo lilizijumuisha Taasisi za Udhibiti za Serikali kwa lengo la kutatua changamoto za Wakulima, Wavuvi, Wafugaji na Wafanyabiashara waliotembelea Maonesho hayo yaliyovutia Wananchi wengi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad