RAIS MUSEVENI AWASILI DAR ES SALAAM KWA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU MOJA NCHINI - JIACHIE

JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad

RAIS MUSEVENI AWASILI DAR ES SALAAM KWA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU MOJA NCHINI

Share This

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea mgeni wake Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere alipowasili nchini kwa ziara ya kikazi ya siku moja leo Agosti 9, 2018
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni (kati kati) akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mh. Paul Makonda baada ya kuwasili, kulia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dkt John Magufuli.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na mgeni wake Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad