BENKI YA POSTA YATOA MSAADA WA MAGODORO NA MASHUKA SHULE YA SEKONDARI MLALE MKOANI SONGWE - JIACHIE

JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad

BENKI YA POSTA YATOA MSAADA WA MAGODORO NA MASHUKA SHULE YA SEKONDARI MLALE MKOANI SONGWE

Share This
 Meneja Mahusiano wa Benki ya Posta Tanzania (TPB) Bi. Noves Moses  akimkabidhi msaada wa magodoro na mashuka Mbunge wa Jimbo la Ileje Mkoani Songwe Janeth Mbene (wapili kushoto) wenye thamani ya shilingi milioni 3.3 kwa  ajili ya Shule ya Sekondari Mlale kama sehemu ya kupunguza changamoto zinazoikabili shule hiyo. Kushoto ni Mkuu wa Shule hiyo Bi. Furaha Mhagama.
Meneja Mahusiano wa Benki ya Posta Tanzania (TPB) Bi. Noves Moses  akimkabidhi msaada wa magodoro na mashuka Mbunge wa Jimbo la Ileje Mkoani Songwe Janeth Mbene (wapili kushoto) wenye thamani ya shilingi milioni 3.3 kwa  ajili ya Shule ya Sekondari Mlale kama sehemu ya kupunguza changamoto zinazoikabili shule hiyo. Kushoto ni mmoja wa wanafunzi wa shule hiyo aliyeshuhudia mmsaada huo kwao.
 Mbunge wa Jimbo la Ileje Mkoani Songwe Janeth Mbene akiwa katika picha ya pamoja na Uongozi wa Benki ya Posta Tanzania (TPB) na wanafunzi  ya Sekondari ya Mlale mara baada ya kupokea msaada wa magodoro na mashuka yenye thamani ya Milioni 3.3 kutoka benki ya TPB.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad