728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Friday, July 13, 2018

  WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AANZA ZIARA YA WILAYA YA KISHAPU  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na mtoto Witness Castory wa Shule ya Awali ya Lubaga wilayani Kishapu baada ya mtoto huyo na wenzake kuimba wimbo wa kumkaribisha Waziri Mkuu kwenye viwanja vya Jengo la Halmashauri ya wilaya ya Kishapu Julai 13, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
  PMO 3145 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na mbunge wa Kishapu, Mhe. Suleiman Nchambi wakati alipowasili kwenye viwanja vya Ofisi ya Halmashauri ya wilaya ya Kishapu Julai 13, 2018. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Zainab Telack.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AANZA ZIARA YA WILAYA YA KISHAPU Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top