728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Saturday, July 14, 2018

  TFS NA WADAU WAANZA SAFARI YA KUTEMBELE A MSITU WA ASILI WA AMANI

  Meneja Masoko na Uwekezaji wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania(TFS),Mariam Kobelo  mapema leo asubuhi akigawa Vipeperushi kwa Wakazi wa Dar es Salaam ambao wanafanya safari ya kutembelea Msitu wa Asili wa Amani uliopo Muheza mkoani Tanga ,Safari hiyo ambayo imeratibiwa na TFS imewakutanisha wadau mbalimbali kwenda kujionea mazao ya Misitu
  Baadhi ya Wadau waliopo katika safari hiyo wakipitia majarida yanayoelezea Msitu wa asili wa Amani na Vivutio vyake.
  Baadhi ya Wanafunzi waliojumuika katika Safari hiyo wakisoma Makala mbalimbali zilizomo kwenye Jarida linalozungumzia Msitu wa asili wa Amani.
  Baadhi ya Wadau waliopo katika safari hiyo wakipitia majarida yanayoelezea Msitu wa asili wa Amani na Vivutio vyake.
  Wadau wakiw akatika basi tayari kwa ajili ya Safari kuelekea Tanga kutembelea msitu wa asili wa amani
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: TFS NA WADAU WAANZA SAFARI YA KUTEMBELE A MSITU WA ASILI WA AMANI Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top