SHIRIKA LA BIMA LA TAIFA (NIC) LANG'ARA MAONYESHO YA SABASABA JIJINI DAR - JIACHIE

JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad

SHIRIKA LA BIMA LA TAIFA (NIC) LANG'ARA MAONYESHO YA SABASABA JIJINI DAR

Share This
Kaimu Mkurugenzi wa Masoko na huduma kwa wateja Shirika la Bima (NIC) Elisante Maleko,katikati akimkabidhi zawadi mfanyakazi wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) Zodo M Zodo(kushoto) baada ya kutembelea banda la maonesho ya 42 katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere Sabasaba jijini Dar es Salaam jana.kulia ni Ofisa Bima za Maisha Honest Valence. 
Huduma zikiendelea katika banda la NIC 
Mchungaji wa KKKT Mtaa wa Bonyukwa Bongye Lameck akijaza fomu ya moja ya huduma za bima zinazotolewa na Shirika la Bima la Taifa (NIC) jana wakati wa maonyesho ya kimataifa ya Sabasaba yanayoendelea viwanja vya Mwalimu Nyerere Jijini Dar es Salaam, kulia ni Honest Valence Afisa Bima wa NIC.
Picha ya Pamoja ya baadhi ya wafanyakazi wa NIC wakiwa katika banda lao kwenye maonyesho ya sabasaba yanayoendele jijini Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad