728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Monday, June 25, 2018

  MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU BUNGENI JIJINI DODOMA

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwanamuziki Mkongwe Mzee Makassy  na wasanii wenzake katika Viwanja vya Bunge , Juni 25/2018 .Kulia ni Mbunge wa Viti maalumu Martha Mlata
   Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimia na mwanamuziki, Kikumbi Mwanza Mpango (King Kiki)  na wasanii wenzake  katika Viwanja vya Bunge jijini Dodoma  Juni 25/2018. Katikati ni Waziri wa Mambo ya Ndani Mwigulu Nchemba, kushoto mwenye kofia nyekundu ni Mzee Makassy na Kulia ni Mbunge wa Viti Maalum Martha Mlata .
  Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Wanamuziki wakongwe kwenye Viwanja vya Bunge leo jijini Dodoma
   Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba bungeni jijini Dodoma leo Juni 25/2018
  PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU BUNGENI JIJINI DODOMA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top