728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Monday, June 4, 2018

  MAKADIRIO YA UJENZI WA CHUMBA CHA KUHIFADHIA MAITI MURRIET KUPITIWA UPYA

  Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Josephat Kandege akitoa maelekezo leo wakati alipotembelea kituo cha afya cha Murriet kilichopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Arusha kuona maendeleo ya ujenzi wa kituo hicho.
  Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Josephat Kandege akikagua baadhi ya majengo yaliyojengwa katika Kituo cha afya cha Murriet kilichopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Arusha kuona maendeleo ya ujenzi wa kituo hicho
  Jengo la Kituo cha afya cha Murriet kilichopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Arusha , Jijini Arusha.

  1 Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Josephat Kandege akikagua baadhi ya mabati yaliyotumika katika ujenzi wa Kituo cha afya cha Murriet kilichopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Arusha kuona maendeleo ya ujenzi wa kituo hicho
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MAKADIRIO YA UJENZI WA CHUMBA CHA KUHIFADHIA MAITI MURRIET KUPITIWA UPYA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top