KARIAKOO KWAANZA KUFURIKA MAANDALIZI YA SIKUKUU YA EID EL FITRI. - JIACHIE

JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad

KARIAKOO KWAANZA KUFURIKA MAANDALIZI YA SIKUKUU YA EID EL FITRI.

Share This
 Sehemu ya Wakazi wa Dar es Salaam wakichagua nguo za watoto katika Mtaa wa Congo- Kariakoo wakichagua nguo za Sikuu ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya sikukuu ya Iddi  El Fitri
 Wazazi wawili wakishauriana kuchagua nguo ipi inafaa kwa watoto wao kama walivyonaswa katika Mtaa wa Congo na Agrey Kariakoo,jijini Dar leo.
Umati wa watu uliojazana Mtaa wa Congo Kariakoo kununua nguo za sikuu kwa ajili ya watoto wao katika msimu huu wa siku kuu ya Iddi  El Fitri

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad