WILAYA YA MADABA YAJA NA MIKAKATI MADHUBUTI YA KUBORESHA KIWANGO CHA ELIMU. - JIACHIE

JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad

WILAYA YA MADABA YAJA NA MIKAKATI MADHUBUTI YA KUBORESHA KIWANGO CHA ELIMU.

Share This
Halimashauri ya wilaya ya MADABA mkoani Ruvuma imeadhimia kuandaa mikakati madhubuti ya kuboresha kiwango cha elimu katika shule za msingi na sekondari ikiwemo kuboresha miundombinu ya elimu pamoja na makazi bora ya walimu katika shule husika. Hayo yamebainishwa katika baraza la madiwani la robo tatu ya mwaka wa fedha 2017/2018.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad