728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Monday, May 7, 2018

  WATAKAO HUJUMU MIRADI YA ELIMU KUKIONA CHA MOTO.RC RUVUMA

  Wilaya ya TUNDURU imefanikisha kukusanya kiasi cha zaidi ya shilingi milioni 600 kutoka kwa wakulima wa zao korosho,ambapo fedha hizo zitatumika katika kuboresha miundombinu ya elimu pamoja na kuboresha kiwango cha cha ufahuru kwa wanafunzi na kupunga msongamoto wa wanafunzi katika madarasa.

  kutokana na hutua hiyo mkuu wa mkoa wa RUVUMA CHRISTINA MNDEME akawaonya viongozi wote watakaokwenda kinyume na utaratibu katika mtumizi ya fedha hizo. 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: WATAKAO HUJUMU MIRADI YA ELIMU KUKIONA CHA MOTO.RC RUVUMA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top