Wabunge wa Afrika Mashariki watembelea Balozi Chikawe - Tokyo - JIACHIE

JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad

Wabunge wa Afrika Mashariki watembelea Balozi Chikawe - Tokyo

Share This
 Wabunge hao wakiongozwa na Mwenyekiti wa Chapter ya Tanzania wamezuru Ubalozi wa Tanzania Tokyo.  Wako ziara ya wiki moja nchini Japan. Pichani kushoto ni Ndugu Charles Mchome ambaye ni Mtanzania anayeishi Japan na ni Mdau wa globu ya Jamii.
Pichani kushoto ni Dkt Abdullah Hasnuu Makame,Balozi Mathias Chikawe,Mheshimiwa Josephine Lemoyan pamoja na Mhandisi Mohamed Habib Mnyaa wakiwa katika picha ya pamoja.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad