728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Tuesday, May 15, 2018

  UJENZI WA JENGO LA UTAWALA LA HALMASHAURI YA MJI WA NANYAMBA MKOANI MTWARA WA SUASUA

  Msimamizi wa mradi wa ujenzi wa jengo la utawala la halmashauri ya mji wa Nanyamba mkoani Mtwara Mhandisi MEDRAD MMOLE amesema kukosekana kwa vibarua kumepelekea kuchelewesha kukamilika kwa mradi huo unaofanywa na kandarasi ya Suma JKT.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: UJENZI WA JENGO LA UTAWALA LA HALMASHAURI YA MJI WA NANYAMBA MKOANI MTWARA WA SUASUA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top