MFANYA BIASHARA MKOANI RUVUMA AKUTWA AMEHIFADHI BIDHAA CHOONI - JIACHIE

JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad

MFANYA BIASHARA MKOANI RUVUMA AKUTWA AMEHIFADHI BIDHAA CHOONI

Share This
Wafanyabiashara Watatu katika Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma,Wanashikiliwa na Jeshi la polisi kwa tuhuma za kutunza bidhaa katika maghala yasiyotambulika na serikali, huku mwingine akihifadhi bidhaa katika mazingira hatarishi kwa afya ya mwanadamu.( Chooni).

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad