ALIYEWAHI KUWA MBUNGE WA MONDULI KUZIKWA KESHO MJINI LONGIDO MKOANI ARUSHA - JIACHIE

JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad

ALIYEWAHI KUWA MBUNGE WA MONDULI KUZIKWA KESHO MJINI LONGIDO MKOANI ARUSHA

Share This
Aliyewahi kuwa Mbunge wa Monduli na Mkuu wa wilaya Mstaafu Luteni Mstaafu Lepilal Ole Molloimet aliyefariki Dunia Jumapili iliyopita,anatarajiwa kuzikwa kesho Ijumaa mjini Longido.Kwa mujibu wa msemaji wa familia Mh. Christopher Ole Sendeka, Luten Molloimet amefariki dunia kwa ugonjwa wa shinikizo la damu

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad