728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, October 18, 2017

  MAZINGIRA YA UWEKEZAJI YAIMARISHWA TANZANIA-RIPOTI YA REPOA

   Mkurugenzi wa Repoa nchini, Donald Mmari, akizungumza mara baada ya kuwasilishwa kwa ripoti ya Nafasi ya Tanzania  katika kufanya Biashara Duniani
   Mtafiti Kutoka REPOA, Dk . Lucas Katera,Akiwasilisha   ripoti ya Nafasi ya nchi katika kufanya Biashara Duniani iliyotolewa na World Economic Forum na Repoa.
   Baadhi ya Watu waliohudhuria Uzinduzi wa Ripoti hiyo uliofanyika katika ukumbi wa Repoa.
   Mtafiti kutoka Repoa. Dk Blandina Kilama akizungumza mara baada ya kuwasilishwa Utafiti huo 
   Prof .Sufian Bukurura kutoka chuo kikuu cha Dar es Salaam akichangia mada mara baada ya kuwasilisha kwa ripoti .
   Mtafiti Kutoka Repoa Prof.Paschal Mihyo akichangia mada  mara baada ya kuwasilishwa kwa ripoti ya Nafasi ya Tanzania  katika kufanya Biashara Duniani  Katibu wa Kwanza wa sera na Uchumi  kutoka ubalozi Uholanzi Nchini, Eugene C.M Gies  akichangia mara baada ya kuwasilishwa kwa ripoti ya Nafasi ya Tanzania  katika kufanya Biashara Duniani
   Baadhi ya watu walioshiriki katika  uwasilishwaji kwa ripoti ya Nafasi ya Tanzania  katika kufanya Biashara Duniani.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MAZINGIRA YA UWEKEZAJI YAIMARISHWA TANZANIA-RIPOTI YA REPOA Rating: 5 Reviewed By: MICHUZI BLOG
  Scroll to Top