728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, September 13, 2017

  SEND OFF YA MKE MTARAJIWA WA CUTHBERT MIDALA,CATHERINE ILIVYOFANA DAR ES SALAAM, JANA

  Mke Mtarajiwa wa Ofisa wa Makao Makuu ya CCM, Cuthert Midala, Bi Catherine Nyamoni akiwa mwenye tabasamu la uhakika, wakati wa Send Off yake, iliyofanyika jana jioni, katika ukumbi mwanana wa Danken House, Mikocheni jijini Dar es Salaam, Zifuatazo ni picha zaidi ya 200 zikisawiri tukio lote mwanzo hadi mwisho. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: SEND OFF YA MKE MTARAJIWA WA CUTHBERT MIDALA,CATHERINE ILIVYOFANA DAR ES SALAAM, JANA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top