BASI LA TASHRIFF LILILOKUWA LIKITOKA TANGA – DAR LAUNGUA KWA MOTO PONGWE – TANGA - JIACHIE

JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad

BASI LA TASHRIFF LILILOKUWA LIKITOKA TANGA – DAR LAUNGUA KWA MOTO PONGWE – TANGA

Share This
Basi la Tashriff lililokuwa likitokea Tanga – Dar es Salaam limeteketea kwa moto mchana wa leo katika eneo la Pongwe, Tanga. Kwa mujibu wa taarifa za awali chanzo cha moto huo hakijafahamika japo hakuna mtu aliyepoteza maisha

Kikosi cha Zima Moto na Uokoaji Mkoani Tanga wakiendelea na zoezi la uokoaji na kuzima moto kwenye basi hilo.No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad