728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Monday, August 7, 2017

  WAZIRI WA KILIMO, MIFUGO NA UVUVI MHE. DK.CHARLES TIZEBA ASISITIZA MATUMIZI YA TAARIFA ZA HALI YA HEWA KWA MANUFAA YA KILIMO NCHINI

   Mhe. Dkt. Tizeba akisisitiza umuhimu wa taarifa za hali ya hewa kwa wakulima alipotembelea banda la Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), anayezungumza nae ni Mkurugenzi wa utafiti na matumizi ya taarifa za hali ya hewa Dkt. Ladislaus Chang'a
   Mkurugenzi wa utafiti na matumizi ya taarifa za hali ya hewa Dkt. Ladislaus Chang'a akitoa maelezo ya umuhimu wa matumizi sahihi ya taarifa za hali ya hewa kwa waziri wa kilimo, mifugo na uvuvi
    Baadhi ya wageni mbalimbali wanaoendelea kutembelea banda ili upata elimu juu ya umuhimu wa taarifa za hali ya hewa na jinsi ya kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa
  Mhe. Dkt Tizeba akiteta jambo na Mkurugenzi wa utafiti na matumizi ya taarifa za hali ya hewa Dkt. Ladislaus Chang'a na Meneja wa Kanda ya Kusini  wa TMA Bw. Amas Daudi

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: WAZIRI WA KILIMO, MIFUGO NA UVUVI MHE. DK.CHARLES TIZEBA ASISITIZA MATUMIZI YA TAARIFA ZA HALI YA HEWA KWA MANUFAA YA KILIMO NCHINI Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top