728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, August 2, 2017

  Waziri Jenista Mhagama akutana na Balozi wa Vietnam Bw. Nguyen Kim Doanh

   Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Kazi, Vijana, Ajira  na Watu Wenye Ulemavu) Jenista Mhagama (Mb) akizungumza na Balozi wa Vietnam Bw. Nguyen Kim Doanh kuhusu ushirikiano baina ya nchi ya Vietnam na Tanzania ofisini kwake, Jijini Dar es Salaam Agosti 2, 2017. Kulia ni Msaidizi wa Balozi Bw. Ton Ho Tri Dzung. 
   Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Kazi, Vijana Ajira na Watu Wenye Ulemavu) Jenista Mhagama (Mb) akisisitiza jambo pamoja na Balozi wa Vietnam Bw. Nguyen Kim Doanh ofisini kwake, Jijini Dar es Salaam Agosti 2, 2017.
  Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Kazi, Vijana, Ajira na Watu Wenye Ulemavu) Jenista Mhagama (Mb) akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Vietnam Bw. Nguyen Kim Doanh baada ya mazungumzo yao, ofisini kwake Jijini Dar es Salaam Agosti 2, 2017.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Waziri Jenista Mhagama akutana na Balozi wa Vietnam Bw. Nguyen Kim Doanh Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top