728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Thursday, August 3, 2017

  .WATAKAOBADILISHA MATUMIZI YA FEDHA KUCHUKULIWA HATUA KALI.

  Wakulima mkoani RUVUMA wametakiwa kuzalisha mazao yeye tija ili kukuza sekta ya kilimo na kupanua uzalishaji ili kuifanya nchi ya Tanzania kuwa nchi ya viwanda ambapo mkoa wa ruvuma ni kati ya mikoa inayozalisha chakula kwa wingi hapa nchini Tanzania.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: .WATAKAOBADILISHA MATUMIZI YA FEDHA KUCHUKULIWA HATUA KALI. Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top