728x90 AdSpace






 • Habari za hivi Punde

  Thursday, August 3, 2017

  TMF NA HIVOS KENYA YAFUNGUA MAFUNZO YA MIEZI SITA YA NISHATI JADILIFU KWA WANAHABARI TANZANIA

   Muwezeshaji kutoka Tanzania Media Foundation Dustun Kamanzi akizungumza na Waandishi wa habari walioshiriki katika mafunzo ya uandishi Nishati Jadilifu
    Mwandishi Mwandamizi Alan Lawa  akizungumza jambo wakati wa majadala uliokuwa ukiendelea katika mafunzo hayo yaliyoandaliwa na TMF na Hivos Kenya
   Muwakilishi wa Hivos Kenya , Maimuna Kabatesi akizungumza juu ya Hivos  Kenya katika kusaidia masuala ya mabadiliko ya Tabia nchi
   Waandishi  walioshirikikatika mafunzo hayo wakijadili jambo wakati wa kazi za makundi.
   Mjumbe wa bodi ya Terea Godwin Msigwa akiwa pamoja mwandishi wa DW Hawa Biolga wakati wa ufundishaji wa makundi katika mafunzo hayo
   Waandishi  walioshirikikatika mafunzo hayo wakijadili jambo wakati wa kazi za makundi

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: TMF NA HIVOS KENYA YAFUNGUA MAFUNZO YA MIEZI SITA YA NISHATI JADILIFU KWA WANAHABARI TANZANIA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top