728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Tuesday, August 8, 2017

  TASWIRA MBALIMBALI KATIKA SHEREHE ZA SIMBA DAY UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR


   Kikosi cha Rayon Sports ya Rwanda.
  Kikosi cha Simba.


  Mashabiki wa Simba waliojitokeza kwenye Tamasha la Simba Day linalofanyika Kwenye Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salam .. Klabu ya Simba yenye maskani yake Msimbazi jijini Dar es Salaam ina utaratibu wake wa kuenzi vitu vyake vya klabu kwa kuanzisha siku maalumu ambayo wanasimba wote hukusanyika pamoja kujadiliana mambo mbalimbali.Agosti 8 ya kila mwaka huwa ndiyo siku hiyo iliyopewa jina la ‘Simba Day’, wameichagua wao Wanasimba kama sehemu ya kumbukumbu ambapo huchagizwa na mambo mengi ikiwemo kutoa misaada kwa jamii inayowazunguka, kubadilishana mawazo, na mwisho huchezwa mechi ambayo ndiyo huitimisha kila kitu.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: TASWIRA MBALIMBALI KATIKA SHEREHE ZA SIMBA DAY UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top