728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Monday, August 7, 2017

  RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA STENDI YA MABASI YA KOROGWE MJINI MKOANI TANGA

  Pichani ni eneo la stendi mpya na ya kisasa ya mabasi mjini Korogowe Mkoani Tanga, iliyozinduliwa rasmi na Rais Dkt. John Pombe Magufuli leo. PICHA NA IKULU
  Sehemu ya Wananchi wa Korogwe wakiwa wamefurika kwa wingi kwenye eneo la stendi hiyo, kumsikiliza Rais Dkt. John Pombe Magufuli, kabla ya kuizindua rasmi leo.
  RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AFUNGUA STENDI YA MABASI YA KOROGWE MJINI MKOANI TANGA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA STENDI YA MABASI YA KOROGWE MJINI MKOANI TANGA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top