728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Tuesday, August 8, 2017

  PICHA ZA MATUKIO YANAYOJIRI TAMASHA LA SIMBA DAY UWANJA WA TAIFA LEO

  Mashabiki wa Simba waliojitokeza kwenye Tamasha la Simba Day linalofanyika Kwenye Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salam .. Klabu ya Simba yenye maskani yake Msimbazi jijini Dar es Salaam ina utaratibu wake wa kuenzi vitu vyake vya klabu kwa kuanzisha siku maalumu ambayo wanasimba wote hukusanyika pamoja kujadiliana mambo mbalimbali.Agosti 8 ya kila mwaka huwa ndiyo siku hiyo iliyopewa jina la ‘Simba Day’, wameichagua wao Wanasimba kama sehemu ya kumbukumbu ambapo huchagizwa na mambo mengi ikiwemo kutoa misaada kwa jamii inayowazunguka, kubadilishana mawazo, na mwisho huchezwa mechi ambayo ndiyo huitimisha kila kitu.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: PICHA ZA MATUKIO YANAYOJIRI TAMASHA LA SIMBA DAY UWANJA WA TAIFA LEO Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top