728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Sunday, August 6, 2017

  NDUGAI AMTEMBELEA NA KUFANYA NAE MAZUNGUMZO RAIS WA IRAN ALIYEAPISHWA JANA

  Mheshimiwa Spika Job Ndugai leo amemtembelea Ikulu na kufanya mazungumzo na Rais wa Iran alieapishwa jana,Mhe Hassan Rouhani ambapo Mheshimiwa Spika amempongeza kuteuliwa kwake kwa mara ya pili na kumuahidi ushirikiano wa karibu baina ya Bunge la Tanzania na la Iran. Mheshimiwa Spika alikuwa ni miongoni mwa wageni mashuhuri walioalikwa kushuhudia kuapishwa kwa Rais Rouhani katika sherehe zilizofanyika kwenye Bunge la Iran mjini Tehran.
   
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: NDUGAI AMTEMBELEA NA KUFANYA NAE MAZUNGUMZO RAIS WA IRAN ALIYEAPISHWA JANA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top