728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Friday, August 11, 2017

  MAMA GRACA MARSHEL AZINDUA KITABU CHA WANAWAKE WALIOFANIKIWA KIUCHUMI AFRIKA

  --

   Mke wa Rais Mstaafu wa Afrika Kusini Nelson Mandela , Mama Graca Marshel  akipiga makofi mbele ya Wanawake waliofanikiwa kiuchumi ambao wameandikwa katika kitabu  cha wanawake Afrika kuashiria uzinduzi wa Kitabu hicho katika Mkutano wa Advance Women Africa
   Mwandishi wa Kitabu cha Wanawake waliofanukiwa kiuchumi Afrika , Lisa O'Donoghue akifanya marejeo ya kitabu hicho kabla ya kuzinduliwa
   Mwandishi wa Habari kutoka Tanzania akitoa sori fupi ya Miasha na Mtoto wake , Ester Karin

   wanawake Mashuhuri nchini wakiwa katika mkutano huo wakijadili jambo kabla ya uzinduzi wa kitabu
    Mke wa Rais Mstaafu wa Afrika Kusini Nelson Mandela , Mama Graca Marshel , akiteta na Wanawake wajasiliamali nchini ambao  wameshiriki Mkutano wa Women Advance Afrika
   Sehemu ya Washiriki wa Mkutano huo wakifatilia kwa makini
  Sehemu ya Washiriki wa Mkutano huo wakifatilia kwa makini
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MAMA GRACA MARSHEL AZINDUA KITABU CHA WANAWAKE WALIOFANIKIWA KIUCHUMI AFRIKA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top