728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Friday, August 11, 2017

  MAKONDA AFUNGUA MKUTANO WA USAJILI MUHIMU WA MATUKIO YA BINADAMU KWA NJIA YA TEHAMA

   Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akizungumza na katika ufunguzi wa mkutano wa viongozi wa ngazi ya Mkoa na Wilaya katika ukumbi wa Arnautoglou jijini Dar es Salaam.
   Kaimu Afisa Mtendaji  Mkuu (RITA) Emmy Hudson akizungumza na waandishi  wa habari katika mkutano wa viongozi wa gazi ya Mkoa na Wilaya kuhusu usajili wa matukio muhimu ya Binadamu na kutambulisha majaribio ya mfumo wa Tehama katika ukumbi wa Arnautoglou, jijini Dar es Dalaam.
  Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Paul Makonda akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa ngazi ya Mkoa na Wilaya leo jijini Dar es Salaam. Picha na Emmanuel Massaka,Globu ya jamii.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MAKONDA AFUNGUA MKUTANO WA USAJILI MUHIMU WA MATUKIO YA BINADAMU KWA NJIA YA TEHAMA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top