728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, August 9, 2017

  MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AREJEA JIJINI DAR

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokelewa na Mkuu wa Wilaya ya Ilala Bi. Sophia Mjema mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Kimataifa wa JK Nyerere akitokea mkoani Lindi ambako alifunga maadhimisho ya 24 ya sherehe ya Siku ya Mkulima (Nane Nane) kwenye viwanja vya Ngongo jana. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AREJEA JIJINI DAR Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top