728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Friday, August 4, 2017

  MAKAMU WA RAIS MH.SAMIA SULUHU HASSAN AMPOKEA RAIS MUSEVENI ALIYEWASILI LEO JIJINI DAR


  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimpokea Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu JK Nyerere Dar es Salaam tayari kuelekea jijini Tanga kwa Sherehe za Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi toka Hoima Uganda hadi Tanga Tanzania utakaofanyika kesho Agosti 5, 2017 katika eneo la Chongoleani.

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimpokea Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu JK Nyerere Dar es Salaam tayari kuelekea jijini Tanga kwa Sherehe za Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi toka Hoima Uganda hadi Tanga Tanzania utakaofanyika tarehe 5 Agosti 2017 katika eneo la Chongoleani.Pichani kulia ni Naibu Spika wa Bunge Mh.Dkt. Dkt Tulia Ackson Mwansasu
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MAKAMU WA RAIS MH.SAMIA SULUHU HASSAN AMPOKEA RAIS MUSEVENI ALIYEWASILI LEO JIJINI DAR Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top