728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Saturday, August 5, 2017

  DKT. TIZEBA ATEMBELEA BANDA LA BUNGE KATIKA MAONYESHO YA NANE NANE YANAYOENDELEA LEO MJINI DODOMA.  Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mhe. Dkt. Charles Tizeba akisalimiana na Katibu Msaidizi wa Bunge, Ndg. Bakari kishoma wakati alipotembelea Banda la Bunge katika Maonyesho ya Nane nane yanayoendelea  kwenye Viwanja vya Nzunguni, Mjini Dodoma.
  (PICHA NA OFISI YA BUNGE)
  IMGL8670
  Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mhe. Dkt. Charles Tizeba (katikati)akimsikiliza  Afisa Habari wa Bunge Ndg. Patson Sobha (kushoto) wakati alipotembelea Banda la Bunge katika Maonyesho ya Nane nane yanayoendelea  kwenye Viwanja vya Nzunguni, Mjini Dodoma. Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Kongwa, Ndg. Deogratius Ndejembi
  IMGL8673
  Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mhe. Dkt. Charles Tizeba akiuliza swali baada kutembelea Banda la Bunge katika Maonyesho ya Nane nane yanayoendelea kwenye Viwanja vya Nzunguni, Mjini Dodoma. Katikati ni Mkuu wa Wilaya ya Kongwa, Ndg. Deogratius Ndejembi na kulia ni Afisa Habari wa Bunge Ndg. Patson Sobha
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: DKT. TIZEBA ATEMBELEA BANDA LA BUNGE KATIKA MAONYESHO YA NANE NANE YANAYOENDELEA LEO MJINI DODOMA. Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top