728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Tuesday, July 11, 2017

  WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AZUNGUMZA NA WAKAZI WA KIJIJI CHA LIKWACHU, WILAYA YA RUANGWA

   Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Wananchi wa kijiji cha Likwachu, Wilaya ya Ruangwa, akiwa katika ziara ya kikazi ya siku tano Mkoani Lindi, Julai 11, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
   Wananchi wa kijiji cha Likwachu, Wilaya ya Ruangwa, wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alipo ongea nao, wakati akiwa kwenye ziara ya kikazi ya siku tano Mkoani Lindi, Julai 11, 2017.
   Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Wananchi wa kijiji cha Likwachu, Wilaya ya Ruangwa, akiwa katika ziara ya kikazi ya siku tano Mkoani Lindi, Julai 11, 2017.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AZUNGUMZA NA WAKAZI WA KIJIJI CHA LIKWACHU, WILAYA YA RUANGWA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top