728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Monday, July 10, 2017

  WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AWASILI MKOANI LINDI KWA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU TANO

  Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Lindi Mzee Mtopa wakati alipowasili Wilayani Nachingwea Mkoani Lindi, katika ziara ya kikazi ya siku tano,(katikati) ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi Godfey Zambi, Julai 10, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

  Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewasili Mkoani Lindi kwa ziara ya kikazi ya siku nne, akiwa mkoani humo Waziri Mkuu ameanza ziara yake katika wilaya ya Liwale kwa ajili ya kukagua shughuli za maendele na jioni ya leo atukuwa na mkutano wa hadhara na kuzungumza na wananchi wa Liwale pamoja na kusikiliza kero zao

  Waziri Mkuu ameongozana na Mke wake Mery Majaliwa ambapo walipokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Lindi Godfrey Zambi pamoja viongozi wa wilaya za Mkoa wa Lindi ambao walifika katika mapokezi katika uwanja wa ndege wa Nachingwea.Waziri Mkuu hapo kesho anatarajia kuendelea na ziara yake wilayani Ruangwa.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AWASILI MKOANI LINDI KWA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU TANO Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top