728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Tuesday, July 25, 2017

  WAZIRI MKUU KASSI MAJALIWA AKUTANA NA MWALIMU WAKE WA SEKONDARI

   Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwalimu wake, Agrias Sichone ambaye alimfundisha katika Shule ya Sekondari ya Kigonsera mwaka 1977 hadi 1980. Alikuwa katika kikao cha kuhitimisha ziara yake mkoani Songwe kwenye ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Sunrise mkoani humo Julai 24, 2017. kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Chiku Galawa.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: WAZIRI MKUU KASSI MAJALIWA AKUTANA NA MWALIMU WAKE WA SEKONDARI Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top