728x90 AdSpace

 • Habari za hivi Punde

  Saturday, July 15, 2017

  Waziri Dkt. Harrison Mwakyembe aitambulisha rasmi Bodi ya Ushauri ya TaSUBa.

  Waziri wa Habari Sanaa Utamaduni na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (kushoto) akimkabidhi Mwenyekiti mpya wa Bodi ya Ushauri ya Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) Bw. George Daniel Yambesi (kulia) alipoitambulisha rasmi bodi hiyo jana Jijini Dar es Salaam.
  Wajumbe wakimsikiliza Waziri wa Habari Sanaa Utamaduni na Michezo Mhe.Dkt. Harrison Mwakyembe (hayupo katika picha) jana Jijini Dar es Salaam alipokuwa akiwatambulisha wajumbe wapya wa bodi ya ushauri waTaasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa).

  Waziri wa Habari Sanaa Utamaduni na Michezo Mhe.Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wapya wa wa bodi ya ushauri waTaasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa). (Picha na Lorietha Laurence-WHUSM).

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Waziri Dkt. Harrison Mwakyembe aitambulisha rasmi Bodi ya Ushauri ya TaSUBa. Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top