728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Monday, July 31, 2017

  WAUMINI WA KANISA LA EFATHA MJINI SONGEA WACHANGIA DAMU

  Waumini wa kanisa la EFATHA MINISTRY lililopo katika manispaa ya SONGEA mkoani RUVUMA wamejitokeza kwa wingi kuchangia damu kwa watu wenye uhitaji wa damu, ambapo zoezi hilo la kuchangia limefanyika kanisani hapo. PHILIPO GUNI ni baba wa kiroho katika kanisa hilo anasema kutokana na mateso mengi wanayoyapata ndugu zetu hususani akina mama wajawazito na watu wanaopata ajali ndicho kilicho wasukuma zaidi.habari kamili hii hapa video yake
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: WAUMINI WA KANISA LA EFATHA MJINI SONGEA WACHANGIA DAMU Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top